sw_jhn_text_reg/15/14.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 14 Ninyi ni rafiki zangu ikiwa mtafanya yale niwaagizayo. \v 15 Siwaiti watumwa, kwa kuwa mtumwa hajui kile afanyacho bwana wake. Nimewaita ninyi marafiki, kwa kuwa nimewajulisheni mambo yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba.