sw_jhn_text_reg/15/01.txt

1 line
199 B
Plaintext

\c 15 \v 1 Mimi ni mzabibu wa kweli, na baba yangu ndiye mkulima. \v 2 Kila tawi ndani yangu ambalo halizai tunda huliondoa na husafisha kila tawi ambalo huzaa ili kwamba liweze kuzaa matunda zaidi.