sw_jhn_text_reg/14/28.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 28 Mlisikia vile nilivyowaambia, 'Ninaenda zangu, na nitarudi kwenu.' Kama mngelinipenda mimi, mngekuwa na furaha kwa sababu ninakwenda kwa Baba, kwa kuwa Baba ni mkuu kuliko mimi. \v 29 Sasa nimekwisha kuwaambia kabla haijatokea ili kwamba, wakati ikitokea, mueze kuamini.