sw_jhn_text_reg/14/25.txt

1 line
346 B
Plaintext

\v 25 Nimeyasema mambo haya kwenu, wakati bado ninaishi miongoni mwenu. \v 26 Hata hivyo, Mfariji, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisha mambo yote na atawafanya mkumbuke yote ambayo niliyasema kwenu. \v 27 Amani nawapa amani yangu ninyi. Siwapi hii kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni yenu wala msiwe na uoga