sw_jhn_text_reg/14/15.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 15 Kama mkinipenda, mtazishika amri zangu. \v 16 Na nitamwomba Baba, Naye atawapa Msaidizi mwingine ili kwamba aweze kuwa pamoja nanyi milele, \v 17 Roho wa kweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea yeye kwa sababu haumuoni, au kumjua yeye. hata hivyo ninyi, mnamjua yeye, kwani anakaa pamoja nayi na atakuwa ndani yenu.