sw_jhn_text_reg/14/12.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 12 Amini, amini, nawaambia, yeye aniaminiye mimi kazi zile nizifanyazo, atazifanya kazi hizi pia; na atafanya hata kazi kubwa kwa sababu ninakwenda kwa Baba. \v 13 Chochote mkiombacho katika jina langu, nitafanya ili kwamba Baba aweze kutukuzwa katika Mwana. \v 14 Iwapo mtaomba kitu chochote katika jina langu, hilo nitafanya.