sw_jhn_text_reg/14/10.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 10 Hamuamini kuwa mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Maneno ninayoyasema kwenu sisemi kwa kusudi langu mwenyewe; badala yake, ni Baba anayeishi ndani yangu anayetenda kazi yake. \v 11 Niamini mimi, kwamba niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani yangu; la sivyo niamini mimi kwa sababu ya kazi zangu hasa.