sw_jhn_text_reg/14/08.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 8 Philipo alimwambia Yesu, "Bwana, tuonyeshe Baba, na hivyo itakuwa imetutosha." \v 9 Yesu akamwambia, "Sijakuwa pamoja nanyi kwa muda mrefu, na bado hunijui mimi, Philipo? Yeyote aliyeniona mimi amemwona Baba; Jinsi gani unasema, 'Tuonyeshe Baba'?