sw_jhn_text_reg/14/04.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 4 Mnajua njia mahali ninakoenda." \v 5 Tomaso alimwambia Yesu, "Bwana, hatujui mahali unakoenda; Je twawezaje kuijua njia? \v 6 Yesu alimwambia, " Mimi ndiye njia, kweli, na uzima; hakuna awezaye kuja kwa Baba isipokuwa kupitia kwangu. \v 7 Kama mngalinijua mimi, mngalikuwa mnamjua na Baba yangu pia; kuanzia sasa na kuendelea mnamjua na mmeshamuona yeye."