sw_jhn_text_reg/14/01.txt

1 line
345 B
Plaintext

\c 14 \v 1 "Usiruhusu moyo wako ufadhaike. Unamwamini Mungu; niamini pia nami. \v 2 Katika nyumba ya Baba yangu kuna makazi mengi; kama isingekuwa hivyo, ningekuwa nimekuambia, kwa vile ninakwenda kukuandalia mahali kwa ajili yako. \v 3 Kama nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena kuwakaribisha kwangu, ili mahali nilipo pia nanyi muwepo.