sw_jhn_text_reg/13/26.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 26 Kisha Yesu alijibu, "Ni kwake yule nitakaye chovya kipande cha mkate na kumpatia." Hivyo alipo kuwa amechovya mkate, alimpatia Yuda mwana wa Simon Iskariote. \v 27 Na baada ya mkate, Shetani alimuingia. Kisha Yesu akamwambia, "Kile ambacho unataka kukifanya ukifanye haraka."