sw_jhn_text_reg/13/06.txt

1 line
396 B
Plaintext

\v 6 Akaja kwa Simoni Petro, na Petro akamwambia, "Bwana, Unataka kuniosha miguu yangu?" \v 7 Yesu akajibu na kumwambia, "Nifanyalo hulijui sasa, lakini utaelewa baadaye." \v 8 Petro akamwambia, "Hutaniosha miguu yangu kamwe." Yesu akamjibu, "Ikiwa sitakuosha, hutakuwa na sehemu pamoja nami." \v 9 Simoni Petro akamwambia, "Bwana, usinioshe miguu yangu tuu, bali pia na mikono na kichwa changu."