sw_jhn_text_reg/12/48.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 48 Yeye anikataye mimi na asiyeyakubali maneno yangu, anaye amhukumuye: neno hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu siku ya mwisho. \v 49 Maana mimi sikunena kwa nafsi yangu tu. Bali ni Baba aliyenituma, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. \v 50 Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi - kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo kwao."