sw_jhn_text_reg/12/09.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 9 Basi umati mkubwa wa Wayahudi walipata kujua ya kuwa Yesu yuko huko, nao wakaja, si kwa ajili ya Yesu tu, ila wamwone na Lazaro ambaye Yesu alimfufua kutoka katika wafu. \v 10 Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri ili wamue Lazaro; \v 11 maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walienda zao na wakamwamini Yesu.