sw_jhn_text_reg/12/04.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 4 Yuda Iskariote, mmoja wa wale wanafunzi wake, ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema, \v 5 "Kwanini manukato haya yasingeuzwa kwa dinari mia tatu na wakapewa maskini?" \v 6 Naye aliyasema hayo, si kwa kuwahurumia maskini, bali kwa sababu alikuwa mwizi: yeye ndiye aliyeshika mfuko wa fedha na alikuwa anachukua baadhi ya vilivyowekwa humo kwa ajili yake mwenyewe.