sw_jhn_text_reg/11/56.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 56 Walikuwa wakimtafuta Yesu, hukuwakizungumza mmoja kwa mwingine walipokuwa wamesimama hekaluni, "Mnafikiri nini? Kwamba hatakuja katika sikukuu?" \v 57 Wakati huu wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba ikiwa mmoja atajua Yesu alipo, anapaswa kutoa taarifa ili kwamba wapate kumkamata.