sw_jhn_text_reg/11/43.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 43 Baada ya kusema haya, alilia kwa sauti kubwa, "Lazaro, toka nje!" \v 44 Mfu alitoka nje amefungwa mikono na miguu kwa sanda za kuzikia, na uso wake ulifungwa na kitambaa." Yesu akawaambia, "Mfungueni mkamwache aende."