sw_jhn_text_reg/11/38.txt

1 line
410 B
Plaintext

\v 38 Ndipo Yesu, huku akiomboleza nafsini mwake tena, alienda kwenye kaburi. Sasa lilikuwa pango, na jiwe limewekwa juu yake. \v 39 Yesu akasema, "Liondoweni jiwe." Martha, dada yake Lazaro, yeye aliyekufa, akamwambia Yesu, "Bwana, kwa muda huu, mwili utakuwa umeoza, kwa sababu amekwishakuwa maiti kwa siku nne." \v 40 Yesu akamwambia, "Mimi sikukuwaambia ya kwamba, kama ukiamini, utauona utukufu wa Mungu?"