sw_jhn_text_reg/11/03.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 3 Ndipo dada hawa walituma ujumbe kwa Yesu na kusema, "Bwana, angalia yule umpendaye ni mgojwa." \v 4 Yesu aliposikia alisema, "Ugonjwa huu si wa mauti, lakini, badala yake ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu ili kwamba Mwana wa Mungu apate kutukuzwa katika huo Ugonjwa."