sw_jhn_text_reg/10/34.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 34 Yesu akawajibu, "Haikuandikwa katika sheria yenu, 'Nilisema, "Ninyi ni miungu"'?" \v 35 Ikiwa aliwaita miungu, kwa wale ambao Neno la Mungu liliwajilia (na Maandiko hayawezi kuvunjwa), \v 36 mnasema juu ya yule ambaye Baba alimtoa na kumtuma katika ulimwengu, 'Unakufuru,' kwa sababu nilisema, 'mimi ni Mwana wa Mungu'?