sw_jhn_text_reg/10/32.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 32 Yesu akawajibu, "Nimeshawaonesha kazi nyingi nzuri kutoka kwa Baba. Kwa kazi zipi kati ya hizo mnataka kunipiga mawe?" \v 33 Wayahudi wakamjibu, "Hatukupigi mawe kwa kazi yoyote iliyo nzuri, lakini kwa kukufuru, kwa sababu wewe, uliye mtu, unajifanya kuwa Mungu."