sw_jhn_text_reg/10/27.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu; Nawajua, nao wanifuata mimi. \v 28 Ninawapa uzima wa milele; hawataangamia kamwe, na hakuna hata mmoja atakayewanyakuwa kutoka mkononi mwangu.