sw_jhn_text_reg/10/19.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 19 Mgawanyiko tena ukatokea kati ya wayahudi kwa sababu ya maneno haya. \v 20 Wengi wao wakasema, "Ana pepo na ni kichaa. Kwa nini mnamsikiliza?" \v 21 Wengine wakasema, "Haya siyo maneno ya mtu aliyepagawa na mapepo. Pepo linaweza kufungua macho ya kipofu?"