sw_jhn_text_reg/10/17.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 17 Hii ndiyo sababu Baba ananipenda: Niutoe uhai wangu halafu niutwae tena. \v 18 Hakuna auchukuaye kutoka kwangu, lakini mimi nautoa mwenyewe. Ninayo mamlaka ya kuutoa, na ninayo mamlaka ya kuutwaa pia. Nimelipokea agizo hili kutoka kwa Baba."