sw_jhn_text_reg/10/14.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 14 Mimi ndimi mchungaji mwema, na ninawajua kondoo walio wangu, nao kondoo walio wangu wananijua mimi. \v 15 Baba ananijua, nami namjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. \v 16 Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili. Hao pia, yanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu ili kwamba pawepo na kundi moja na mchungaji mmoja.