sw_jhn_text_reg/10/11.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. \v 12 Mtumishi aliyeajiriwa siyo mchungaji na kondoo si mali yake, akiwaona mbwa mwitu wakija, huwaacha na kuwakimbia kondoo na mbwa mwitu huwakamata na kuwatawanya. \v 13 Hukimbia kwa sababu ni mtumishi wa kuajiriwa na hawajali kondoo