sw_jhn_text_reg/10/07.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 7 Yesu akasema nao tena, "Amini, amini, nawaambia, Mimi ni mlango wa kondoo. \v 8 Wote walionitangulia ni wezi na wanyang'anyi, lakini kondoo hawakuwasikiliza.