sw_jhn_text_reg/09/30.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 30 Yule mtu akawajibu na kuwaambia, "Kwa nini, hili ni jambo la kushangaza, kwamba hamjui anakotoka, na bado ameyafumbua macho yangu. \v 31 Tunajua kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini ikiwa mtu yeyote anamwabudu Mungu na hufanya mapenzi yake, Mungu humsikiliza.