sw_jhn_text_reg/09/19.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 19 Waliwauliza wazazi, Je, huyu ni mtoto wenu mnayesema alizaliwa kipofu? amewezaje sasa kuona?" \v 20 Hivyo wazazi wake wakawajibu, "Tunajua kuwa huyu ni mtoto wetu na kwamba alizaliwa kipofu. \v 21 Jinsi gani sasa anaona, hatujui, na yeye aliyemfumbua macho yake, hatumjui. Mwulizeni yeye,ni mtu mzima. Anaweza kujieleza mwenyewe."