sw_jhn_text_reg/09/13.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 13 Wakampeleka yule mtu aliyewahi kuwa kipofu kwa Mafarisayo. \v 14 Nayo ilikuwa siku ya Sabato wakati Yesu alipotengeneza tope na kuyafumbua macho yake. \v 15 Ndipo tena Mafarisayo wakamwuliza alipataje kuona. Aliwaambia, "Aliweka tope katika macho yangu, nikanawa, na sasa naweza kuona."