sw_jhn_text_reg/08/57.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 57 Wayahudi wakamwambia,"Haujafikisha umri wa miaka hamsini bado, nawe umemuona Ibrahimu?" \v 58 Yesu akawaambia, "Amini, amini, nawaambia, kabla Abrahamu hajazaliwa, MIMI NIKO." \v 59 Ndipo walichukua mawe wapate kumpiga, lakini Yesu alijificha na akatoka nje ya hekalu.