sw_jhn_text_reg/08/52.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 52 Wayahudi wakamwambia, "Sasa tumejua kuwa una pepo. Abrahamu na manabii walikufa; lakini unasema, 'Ikiwa mtu atalishika neno langu, hataonja mauti'. \v 53 Wewe si mkuu kuliko baba yetu Abrahamu aliyekufa, sivyo? Manabii pia walikufa. Wewe wajifanya kuwa nani?"