sw_jhn_text_reg/08/31.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 31 Yesu akasema kwa wale Wayahudi waliomwamini, "Ikiwa mtakaa katika neno langu, ndipo mtakuwa wanafunzi wangu kweli, \v 32 nanyi mtaijua kweli, na kweli itawaweka huru." \v 33 Walimjibu, "Sisi ni uzao wa Ibrahimu na kamwe hatujawahi kuwa chini ya utumwa wa yeyote; utasemaje, "Tutawekwa huru?"