sw_jhn_text_reg/08/28.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 28 Yesu akasema, "Mtakapomwinua juu Mwana wa Mtu, ndipo mtakapojua kuwa MIMI NDIYE, na kwamba sifanyi lolote kwa nafsi yangu. Kama Baba alivyonifundisha, ninazungumza mambo haya. \v 29 Yeye aliyenituma yuko pamoja nami, na yeye hajaniacha peke yangu, kwani kila mara nafanya yale yanayompendeza." \v 30 Wakati Yesu akisema mambo haya, wengi wakamwamini.