sw_jhn_text_reg/08/19.txt

1 line
309 B
Plaintext

\v 19 Wakamwambia, "Baba yako yuko wapi?" Yesu akajibu, "mimi hamnijui wala Baba yangu hammjui; mngelikuwa mnanijua mimi, mngemjua na Baba yangu pia." \v 20 Alisema maneno haya akiwa karibu na hazina alipokuwa akifundisha hekaluni, na hakuna hata mmoja aliyemkamata kwa sababu saa yake ilikuwa bado haijafika.