sw_jhn_text_reg/07/47.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 47 Ndipo Mafarisayo walipowajibu, "Na nyinyi pia mmepotoshwa? \v 48 Kuna yeyote kati ya watawala anayemwamini, au yeyote wa Mafarisayo? \v 49 Bali hawa makutano wasiojua sheria - wamelaaniwa."