sw_jhn_text_reg/07/45.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 45 Ndipo wale maofisa wakarudi kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo, nao wakawaambia, "Kwa nini hamjamleta?" \v 46 Maofisa wakajibu, "Hakuna mtu aliyewahi kuzungumza kama huyu kabla."