sw_jhn_text_reg/07/37.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 37 Sasa katika siku ya mwisho, siku kubwa ya sikukuu, Yesu alisimama akapaza sauti, akisema, "Ikiwa yeyote ana kiu, na aje kwangu anywe. \v 38 Yeye aniaminiye mimi, kama maandiko yalivyosema, kutoka ndani yake itatiririka mito ya maji ya uzima."