sw_jhn_text_reg/07/30.txt

1 line
417 B
Plaintext

\v 30 Walikuwa wanajaribu kumkamata, lakini hakuna hata mmoja aliyeinua mkono wake juu yake kwa sababu saa yake ilikuwa bado haijafika. \v 31 Hata hivyo, wengi katika makutano walimwamini. Walisema, "Kristo atakapokuja, atafanya ishara nyingi kuliko alizofanya mtu huyu?" \v 32 Mafarisayo waliwasikia makutano wakinong'onezana mambo haya kuhusu Yesu, na wakuu wa makuhani na Mafarisayo wakatuma maafisa ili kumkamata.