sw_jhn_text_reg/07/21.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 21 Yesu akajibu na akawaambia, "Nimetenda kazi moja, nanyi nyote mmeshangazwa kwa sababu yake. \v 22 Musa aliwapa tohara (siyo kwamba inatoka kwa Musa, bali ile inatoka kwa mababa), na katika Sabato mnamtahili mtu.