sw_jhn_text_reg/07/14.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 14 Wakati sikukuu ilipofika katikati, Yesu alipanda kwenda Hekaluni na kuanza kufundisha. \v 15 Hapo Wayahudi wakawa wakishangaa na kusema, "Kwa jinsi gani mtu huyu anajua mambo mengi? Hajasoma kamwe." \v 16 Yesu akawajibu na kuwaambia, "Mafundisho yangu siyo yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.