sw_jhn_text_reg/06/70.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 70 Yesu akawambia, "Je mimi sikuwachagua ninyi, na mmoja wenu ni ibilisi? \v 71 Sasa alikuwa akiongea kuhusu Yuda, mwana wa Simoni Iskariote, kwa kuwa alikuwa ni yeye akiwa mmoja wa wale kumi na wawili, ambaye ndiye angemsaliti Yesu.