sw_jhn_text_reg/06/66.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 66 Baada ya haya wanafunzi wake wengi walirudi nyuma na hawakuambatana naye tena. \v 67 Yesu akawambia wale kumi na wawili, "Je na ninyi mnataka kuondoka?" \v 68 Simoni Petro akamjibu, "Bwana twende kwa nani kwani wewe unayo maneno ya uzima wa milele, \v 69 na tumeamini na kujua kuwa wewe ni Mtakatifu wa Mungu."