sw_jhn_text_reg/06/64.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 64 Bado kuna watu kati yenu wasioamini." kwa sababu Yesu alijua tangu mwanzo yule ambaye asiyeweza kuamini na yeye ambaye angemsaliti. \v 65 Akawambia, ni kwa sababu hii niliwambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amekubaliwa na Baba."