sw_jhn_text_reg/06/60.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 60 Ndipo wengi wa wanafunzi wake waliposikia haya, wakasema, "Hili nifundisho ngumu ni nani awezaye kulipokea?" \v 61 Yesu kwa sababu alijua ya kuwa wanafunzi wake walikuwa wakilinung'unikia jambo hili, akawambia je jambo hili linawakwaza?