sw_jhn_text_reg/06/57.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 57 Kama Baba mwenye uzima alivyonituma, na kama niishivyo kwa sababu ya Baba,hivyohivyo yeye alae mimi ataishi kwa sababu yangu. \v 58 Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, sio kama vile mababa walivyo kula wakafa. Yeye aulaye mkate huu ataishi milele. \v 59 Yesu aliyasema mambo haya ndani ya sinagogi alipokuwa akifundisha huko Kapernaumu.