sw_jhn_text_reg/06/52.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 52 Wayahudi wakakasirika wenyewe kwa wenyewe na wakaanza kubishana wakisema, "Mtu huyu anawezaje kutupa mwili wake tuule?" \v 53 Kisha Yesu akawambia, "Amini, amini, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamtakuwa na uzima ndani yenu.