sw_jhn_text_reg/06/43.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 43 Yesu akajibu, akawambia, "Msinung'unikiane miongoni mwenu wenyewe. \v 44 Hakuna mtu ajaye kwangu asipovutwa na Baba yangu aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho. \v 45 Kwa kuwa imeandikwa katika manabii, 'Watafundishwa na Mungu.' Kila aliyesikia na amejifunza kutoka kwa Baba, huja kwangu.