sw_jhn_text_reg/06/24.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 24 Wakati makutano walipotambua kuwa sio Yesu wala wanafunzi wake walikuwa kule, wao wenyewe walipanda ndani ya mitumbwi wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu. \v 25 Baada ya kumpata upande mwingine wa ziwa wakamuuliza, "Rabbi ulikuja lini huku?"