sw_jhn_text_reg/06/13.txt

1 line
384 B
Plaintext

\v 13 Basi wakakusanya na kujaza vikapu kumi na viwili, vipande vya mikate mitano ya shayiri- vipande vilivyosazwa na wale waliokula. \v 14 Kisha watu walipoona ishara hii aliyoifanya walisema, "Kweli huyu ndiye yule nabii ajaye ulimwenguni." \v 15 Yesu alipotambua kuwa walikuwa wanataka kumkamata ili wamfanye kuwa mfalme wao kwa nguvu, alijitenga,na akaenda mlimani yeye peke yake.